Advertisement |
USTAWI WA JAMII:
Wewe Mama ama Baba ambae unateseka na mtoto wako ama binafsi kutokana na visa ama matatizo mbalimbali tanayofanywa na mwenza wako ambayo hunaona yapo kinyume kabisa na haki za binadamu fursa ni yako fika sasa katika Ofisi za Ustawi wa Jamii zilizopo mahala husika kisha eleza yanayo kusibu bila hofu wa hiyana.
Kama mwenza wako amekuwachia jukumu la kulea watoto wewe mwenyewe waweza kwenda pia hili naye ajumuike nawe katika malezi ya mtoto huyo ata kama mmetarafikiana anawajibu wa kutoa huduma za malezi kwa mtoto/watoto hao.
#USIKAE #KIMYA #PINGAUKATILI
#SISINAWATOTO #SnW #watoto #Tanzania #kill #kilimanjaro #moshi #malala #s #watotodarajaborakatikajamii
0 comments: