Wednesday 5 October 2016

Siku ya Walimu Duniani

ad300
Advertisement

Happy World  Teachers Day.

Leo ni madhimisho ya Siku ya Walimu Duniani.
Nchini Tanzania  Walimu  wana adhimisha siku hii, huku wakiwa na changamoto mbalimbali katika sekta hiyo hususani malimbikizo ya madeni, kupandishwa madaraja, vifaa vinavyo kidhi kufundishia sambamba na miundombinu mibovu na chakavu kwa maeneo yao ya kazi.

Hata hivyo Serikali ya Tanzania  inafanya jitihada mbalimbali  wa kuboresha Elimu kama upatikanaji wa madawati.
Juhudi za haraka na upesi zanahitajika zaidi katika  Sekta ya Elimu ili kuwa na kizazi kilicho elimika na kuweza kujenga zaidi na zaidi Taifa hili.
#Ahsanteni #walimu #Tanzania

#share

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: