Advertisement |
Viongozi wa Baraza La Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu awamu ya nne Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda.
Mh.Mizengo Pinda aliwaomba Viongozi wa Baraza la Watoto wawe mstari wa mbele katika kutetea haki za watoto wenzao kwani wao pamoja na Jamii nzima ndo wenye dhamana kubwa katika kulinda na kutetea haki za watoto wote nchini Tanzania.
Mh.Mizengo Pinda aliyasema ayo alipo kutana na Baraza hilo la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mkoani Singida alipo ongozana na mwenyeji wake Mh Dr.Parseko Vincent Kone Mkuu wa Mkoa wa Singida
0 comments: