Advertisement |
Mshauri wa Baraza la Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndg Mohamed Gea akiwa katika moja la bango la Baraza la Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliobeba ujumbe "KULINDA NA KUTETEA HAKI ZA MTOTO NI JUKUMU LANGU MIMI NA WEWE" ujumbe huo ndio kauli Mbiu ya Baraza la Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 comments: