Advertisement |
Sisi na Watoto inapenda kuipongeza Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kupitia idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kuwapatia Baraza la Watoto Wilaya ya Lindi Ofisi ndani ya idara ya Maendeleo ya Jamii kwa ajili ya kuendesha shughuri zao ikiwemo kuhifadhi nyaraka mbalimbali za Baraza hilo.
Kupata kwa Ofisi maalumu zitakazo jitegemea za mabaraza ya Watoto kutakuza na kuimarisha utendaji kazi wa mabaraza ya watoto katika swala zima la utendaji kazi wa shughuri za Viongozi wa watoto.
Hivyo ni vyema Serikali pamoja na wadau mbalimbali wa maswala ya watoto tukashirikiana kwa pamoja ili kuakisha mabaraza ya watoto yanasonga mbele ili kuleta mabadiliko chanya katika maswala mbalimbali ya Watoto.
0 comments: