Advertisement |
Unaweza ukadhani ni bidhaa imefunikwa apo lakini sivyo! Uyo ni mtoto amelazwa apo huku Mama yake nae akijishughulisha na buashara kando yake, ili kujipatia kipato cha kuendesha familia hana budi kwani kumuacha nyumbani pekee yake awezi pia hakuna mtu wakumwangalia hivyo inambidi kila ituwapo leo awe nae sambamba katika shughuli yake hiyo ya kuuza ndizi ili kumlea mtoto huyo.
Kwa kweli mazingira haya ruhusu kwani kando kuna barabara hivyo kuna vumbi na sambamba na mingurumo ya vyombo vya moto(usafiri) pia kuna uchafu wa maganda hayo ya ndizi ambayo watumiaji hutupa kando baada ya kupata huduma hiyo.
#Tanzania #mohamedgea #child #s #malala #world #ocean #afrika #mom #tag #challenge #USA #United #unicef #sisinawatoto #mtalawanda #gea #kill #moshi
0 comments: