Advertisement |
Piga vita ukeketaji kwa kuelimisha jamii kuhusu madhara ya ukeketaji kiafya na kijamii.
Tuungane kwa pamoja kupambana na wote wote wanaowafanyia watoto ukeketaji kwa kujua kuwa ni kinyume cha Sheria kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya dola bila kuchoka na kufuatilia kwa karibu bila kuwaachia wadau wa watoto na serikali katika vita hivi kwani tukifanya hivyo bila kuwa na ushirikiano tatizo hili halitoweza kutokomea na wanaweke watazidi kuteseka.
Jamii zenye mila hizi sasa imefika wakati zipewe elimu juu ya madhara ya ukeketaji ili ziweze kuachana kabisa na mila zote zenye madhara kwa wanawake na hata wanaume.
Tuseme kwa pamoja ukeketaji sasa basi nina shiriki kutokomeza ukeketaji. "Watoto daraja Bora katika"
#endFGM
0 comments: