Advertisement |
Ndg Mohamed R. Gea Akipokea cheti kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Moshi alichokabidhiwa na Mama Bertha Yairo Afsa Maendeleo, baada ya kuhitimisha uongozi wake katika Baraza hilo.
Mwaka 2009 hadi Mwaka 2012 alikuwa Mjumbe wa Baraza hilo na Mwaka 2012 hadi mwaka huu September 26th, 2016 amekuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo la Watoto Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.
Kwa sasa ndg Mohamed Gea ni Mshauri wa Baraza la Watoto Halmashauri ya Wilaya ya Moshi na ni Mshauri Baraza la Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 comments: