Advertisement |
Ajenda kumi za watoto(maeneo kumi ya kuwekeza kwa mtoto).
(1) Wekeza katika kuokoa maisha ya watoto na wanawake.
(2) Wekeza kwenye lishe bora.
(3) Wekeza kwenye usafi,udhibiti wa miundombinu ya maji taka na ugavi wa maji katika mashule na kwenye huduma za afya.
(4) Wekeza katika kumwendeleza mtoto akiwa bado mdogo.
(5) Wekeza kwenye elimu bora kwa watoto wote.
(6) Wekeza katika kuzifanya shule kuwa mahali pa usalama.
(7) Wekeza katika kuwalinda watoto wachanga na wasichana dhidi ya VVU.
(8) Wekeza katika kupunguza mimba za utotoni.
(9) Wekeza katika kuwanusuru watoto na vurugu,udhalilishaji na unyonyaji.
(10) Wekeza kwa watoto wenye ulemavu.
0 comments: