Monday, 14 March 2016

Cheti Cha Kuzaliwa

ad300
Advertisement

Tazama Mama akiwa pamoja na mtoto akisubiri huduma kutoka kwa WAKALA WA USAJILI,UFILISI NA UDHAMINI (RITA- REGISTRATION,INSOLVENCY,TRUSTEESHIP AGENCY)

Ni vyema na muhimu mtoto angali mdogo kupatiwa cheti cha kuzaliwa ili aweze kutambulika na kupatiwa huduma muhimu.
Kwani  mtoto akiandikishwa mapema hata gharama na mchakato wa kupata cheti cha kuzaliwa huwa ni rahisi zaidi.

Gharama;
(a) Kizazi kilichoandikishwa ndani ya siku        (90)  cheti kitalipiwa Tshs 3500.

(b) Kizazi kilichochelewa kuandikishwa zaidi ya siku tisini (90) chini ya miaka kumi(10) cheti kitalipiwa Tshs 4000.

(c) Kizazi kilichochelewa kiandikishwa zaidi ya miaka kumi (10), Cheti kitalipiwa Tshs 10000.

(d) Masahihisho ya cheti na daftari la Msajili, cheti kitalipiwa Tshs 6500.

Wahi sasa kumpatia mtoto wako cheti cha kuzaliwa.

#SISI NA WATOTO @SISI NA WATOTO

"WATOTO DARAJA BORA KATIKA JAMII"

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: