Advertisement |
Baraza La Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya uchaguzi mdogo wa kuwapata wawakilishi wawili katika nafasi ya Mjumbe na Mwekahazina wa Baraza hilo.
Uchaguzi huo ulifanyika kwa kuzingatia katiba ya Baraza la Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 comments: