Advertisement |
Baadhi ya Viongozi wa Baraza la Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa kwenye majadiliano mafupi juu swala zima la utendaji kazi wa mabaraza ya watoto katika jamii majadiliano hayo yalifanyika na Viongozi wa kamati Kuu ya Baraza hilo kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika katika Ukumbi wa YMCA Mkoani Kilimanjaro.
0 comments: