Wednesday, 11 January 2017

Elimu Mnini Sekondari

ad300
Advertisement

Shirika la SISI NA WATOTO ni mmoja wamdau katika swala la uboreshaji wa elimu katika shule mbalimbali miongoni mwa shule hizo ni Mnini Sekondari iliyopo Wilaya ya Moshi Vijijini Kata ya Uru Mashariki.

Sisi Na Watoto hujihusisha na maswala ya     uelimishaji wa haki na wajibu wa mtoto mashuleni na hata ndani ya jamii zetu za kawaida.
Vile vile SISI NA WATOTO kwa kushirikiana na Shirika lijulikanalo AIESEC husaidia kupatikana kwa Walimu wa kujitolea kutoka nchi mbalimbali duniani na kuja kufundisha masomo ya Sayansi na Sanaa sambamba na Michezo.
Hili kuwezesha kufikia lengo nambari nne la Malengo Endelevu ya Dunia ( Sustainable Development Goals) #SDGs Elimu Bora (Quality Education).

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: